Utukufu wa jina la Mwenyezi Mungu

Huleta Baraka

1.Mwenyezi Mungu anamajina 99, na miongoni mwa Majina yake, kuna majina yanauwezo mkubwa wa kuleta baraka katika Familia, kazi na shughuli zako za kila siku

Huondoa Maradhi

Hakika kwa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, hakuna Maradhi yenye kuthubuti kukunyemelea, yawe maradhi ya kawaida ama ya uchawi hayana uwezo wa kustahimili jina la mwenyezi Mungu

Huleta Nuru

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Nuru, hivyo kwa kupitia maajabu ya mwenyezi Mungu, mja huletewa Nuru ndani na nje ya mwili wake, hivyo kuona tofauti na siku nyingine zote

<

MAAJABU YAPO KWENYE

JINA LA MWENYEZIMUNGU

Kwa kumuomba MwenyeziMungu, tunapata kufunguliwa katika matatizo mbalimbali ya maisha ikiwemo...

USTADH MUSA ATHUMAN

ALIYEFANYA UTAFITI MIAKA 13 WA JINA LA MUNGU

Pata kutibiwa kwa kunywa na kuoga maji ya baraka yaliyoombewa na Ustadh Musa aliyefanya utafiti wa jina la mwenyezi mungu kwa mda wa miaka 13 na kuja na maji ya baraka yaliyojaa nguvu ya ajabu kwa uwezo wa MwenyeziMungu na kuponya maelefu ya watu.

USHUHUDA

Haya ni matukio na Shuhuda mbalimbali zilizopatikana Maajabu 18 kwa siku za karibuni. Pia Taarifa hizi utazipata katika mtandao wetu wa Instagram pamoja na facebook.


Warning: file_get_contents(https://api.instagram.com/v1/users/self/media/recent/?access_token=7214593296.1677ed0.a22300ae91934a6db5569eb26a2cc1b6&count=4): failed to open stream: HTTP request failed! HTTP/1.1 400 Bad Request in /home1/maajabuc/public_html/index.php on line 470

Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /home1/maajabuc/public_html/index.php on line 473

Ofisi Zetu

Fika Tabata Kinyerezi stendi Dar es salaam, chukua bodaboda yeyote waambie wakupeleke kwa maajabu 18, ukifika utapokelewa na wahudumu bora tayari kukuhudumia shida yako ndani ya mda mfupi

 • Huduma zetu

  ni bora

 • Na gharama zake

  ni nafuu

SIKU ZA KAZI

 • muhudumu
 • jumatatu

  saa mbili - saa kumi jioni

 • jumanne

  saa mbili - saa kumi jioni

 • jumatano

  saa mbili - saa kumi jioni

 • Alhamis & Ijumaa

  Mapumziko

 • jumamosi

  saa mbili - saa kumi jioni

 • jumapili

  saa mbili - saa kumi jioni